Search This Blog

Friday, June 21, 2019

VIDEO: Zitto apinga pendekezo la Serikali kurejesha kodi taulo

Mbunge wa Kigoma Mjini (ACT-Wazalendo), Zitto Kabwe amepinga pendekezo la Serikali ya Tanzania kurejesha Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT) kwenye taulo za kike katika bajeti ijayo ya mwaka 2019/2020

No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...