VIDEO: Serikali ya Tanzania yasema Dengue imeua wanne, wagonjwa
Serikali ya Tanzania leo Ijumaa Juni 21, 2019 imetoa kauli bungeni kuhusu homa ya dengue kwamba tangu Januari hadi Juni 2019 watu wanne wamefariki dunia huku 4,320 wakiwa wameugua ugonjwa huo.
No comments:
Post a Comment