Search This Blog

Wednesday, June 26, 2019

VIDEO: Mazingaombwe ya AJABU zaidi Duniani | Hawa Wamefariki dunia wakionyesha Mazingaombwe yao LIVE


Mazingaombwe au kiini macho ni utaalamu wa kucheza na akili za watu kwa kufanya mambo yasiyowezekana kwa uwezo wa kawaida wa binadamu.

Fahamu wanamazingaombwe watano waliofariki dunia wakati wakifanya mazingaombwe hayo.

  • Aliyedumbukizwa kwenye pipa la maji huku akiwa amefungwa pingu mikononi na pipa likiwa limejazwa maji na kupigwa kufuri.
  • Aliyezikwa akiwa hai
  • Aliyemeza wembe wenye kutu
  • Aliyejaribu kuzuia risasi.
  • Aliyetumbikizwa mtoni huku miguu na mikono ikiwa imefungwa minyororo


No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...