Search This Blog

Monday, June 3, 2019

Naomba Watanzania wasinitoe akili - Baba Diamond


Baba Mzazi wa Diamond, Mzee Abdul Juma amewaomba Watanzania kutomtoa akili kwasababu anaimba muziki kwa sababu kuimba ni kipaji.

Baba Diamond amesema kuwa yeye hana utu uzima kiivyo huku akisema kuwa kuna wazee ambao walikuwepo kwenye mziki na wamekufa wakiimba.

"Naomba Watanzania wasinitoe akili mziki ni kipaji , mimi sina utu uzima ule wa kupita kiwango wa kusemna kwamba too much nadhani ni kawaida na kuna wakubwa wanaoimba zaidi ya mimi wakubwa mpaka wamezeekea na kufa kwenye muziki,"  amesisitiza Baba Diamond.

"Kwahiyo ni vitu vya kawaida atakae taka kunipa sapoti atanipa atakaeona sifai ataachana na mimi wanamuziki wako wengi tu ila tusitoleane ,amemo ya kashfa tukatukanana kwa kitu ambacho leo kipo kesho hakipo."

No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...