Search This Blog
Wednesday, June 26, 2019
Mbwa aliyetumikia Jeshi kwa miaka 10 astaafu
Mbwa mashuhuri kwa kunusa, Frida, ambaye aligonga vichwa vya habari wakati wa mkasa wa tetemeko la ardhi lilioua watu zaidi ya 350 katika mji wa Mexico mwaka wa 2017, hatimaye amestaafu.
Frida amestaafu baada ya kuhudumu na jeshi la wanamaji la Mexico (Semar) kwa zaidi ya miaka 10. Karamu ya kustaafu kwake ilifanyika Ijumaa iliyopita katika makao makuu ya Semar, mjini Mexico.
Frida ameshiriki operesheni za uokoaji nchini Ecuador, Haiti na Guatemala. Katika kipindi hicho cha miaka 10, Farida ametambuliwa kwa kuokoa manusura 12 wa majanga ya asili.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...



No comments:
Post a Comment