Search This Blog

Monday, June 10, 2019

John Bocco asaini mkataba wa miaka miwili Simba SC


Mshambuliaji na Nahodha wa Simba SC, John Bocco amesaini mkataba mpya wa miaka miwili kuendelea kuichezea timu hiyo. Bocco ambaye alikuwa mchezaji bora wa Simba na Ligi Kuu kwa msimu wa 2017/18 na Mshambuliaji Bora kwa msimu wa 2018/19 amefunga jumla ya mabao 30 ya Ligi katika misimu miwili.



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...