Search This Blog

Monday, June 10, 2019

Binti wa Morgan Tsvangirai afariki dunia kwa ajali


Binti wa aliyekuwa kiongozi wa upinzani nchini Zimbabwe, Morgan Tsvangirai, Vimbai Tsvangirai amefariki dunia kutokana na majeraha yaliyotokana na ajali ya gari iliyotokea mwezi uliopita.



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...