Tetemeko la nchi lenye ukubwa wa 6.4 limeikumba nchi ya Indonesia.
Kulingana na Mamlaka ya Hali ya Hewa ya Indonesia tetemeko hilo limefikia kina cha kilomita 216 kusini mashariki mwa Malku nchini humo.
UNHCR na Kituo cha Tsunami cha Pasifiki hawakutoa tahadhari ya tsunami baada ya tetemeko la ardhi.
Kulingana na matokeo ya awali, hakuna mtu aliyekufa au kujeruhiwa katika tetemeko la hilo.
Nchini Indonesia, Septemba 28, 2018, tetemeko la ardhi lenye ukubwa wa 7.5-lilitokea katika Ghuba la Palu kwenye Kisiwa cha Sulawesi ikifuatiwa na tsunami iliyoathiri mikoa ya Donggala, Palu na Sigi.
Watu zaidi ya elfu nne walipoteza maisha.
Search This Blog
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...

No comments:
Post a Comment