Search This Blog
Monday, June 24, 2019
Dkt. Migiro apokea kifaa muhimu cha kufundishia madaktari
Ubalozi wa Tanzania-Uingereza, Dkt. Asha-Rose Migiro amepokea kifaa muhimu cha kufundishia madaktari,wauguzi na wataalamu wa sekta ya afya na vitabu vya kitabibu kutoka Jumuiya ya Watanzania waishio Uingereza wanaofanya kazi katika sekta ya afya(Tanzania United Kingdom Health Diaspora Association)
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...



No comments:
Post a Comment