Search This Blog

Wednesday, June 5, 2019

Aliyekuwa Beki wa Real Madrid, Theo Hernandez Aonekana Akila Bata na Mpenzi Wake Tanzania

Beki kisiki wa klabu ya Real Madrid ambaye kwa sasa anaitumikia Real Sociadad kwa mkopo, Theo Hernandez ameonekana nchini Tanzania akiwa na mpenzi wake ambaye jina halijafahamika.

Theo Hernandez ameonekana akiwa na mpenzi wake katika moja ya mbuga za wanyama nchini katika kipindi hiki ambacho msimu wa ligi nyingi ukiwa umekwisha.

Beki huyo mwenye mataifa mawili Ufaransa na Hispania akiwa na umri wa miaka 21, hapo mwaka jana alijiunga kwa mkopo wa msimu wa mwaka 2018/19 ndani ya klabu ya Theo Hernandez.

No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...