Search This Blog

Saturday, June 15, 2019

Ajibu Kutambulishwa Simba Leo

Kuna uwezekano mkubwa aliyekuwa mchezaji wa Yanga kwa msimu uliomalizika hivi karibuni, Ibrahim Ajibu akatangazwa kusajiliwa na Simba.

Taarifa zinasema kuwa Ajibu tayari ameshamalizana na Simba kwa kusaini mkataba wa miaka miwili na atakuwa sehemu ya kikosi cha timu hiyo msimu ujao.

Jana Simba walimtangaza Beno Kakolanya ambaye aliachwa na Yanga kufuatia amdai ya fedha zake za mishahara na zile za usajili.

Endapo Ajibu atatangazwa atakuwa anarejea rasmi katika klabu yake ya zamani ambayo ilimlea tangu akiwa katika kikosi cha vijana


No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...