Search This Blog
Tuesday, May 28, 2019
Wafungwa waliofariki gerezani wafikia 57
Wafungwa 15 walifariki siku ya Jumapili na wengine 42 siku ya Jumatatu, vifo hivi vimechochewa na ukosefu wa hewa kutokana na msongamano.
Ghasia zilizuka wakati Wafungwa hao wakifanya jitihada za kujiokoa kutoka katika gereza hilo lililopo katika Jiji la Manaus.
Wizara ya Haki na Usalama wa Raia imepanga kutuma kikosi Kazi kwa ajili ya kuchunguza tukio hilo.
Mwaka 2017 Wafungwa 100 walifariki kwa kukosa hewa katika gereza moja nchini Brazil.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...

No comments:
Post a Comment