Search This Blog

Friday, May 24, 2019

VIDEO: Onyo kali latolewa uwanja wa Ndege


Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro amesema kuwa, maeneo ya viwanja vya ndege ususan kiwanja cha ndege Dar es salaam kamwe hakitakuwa uchochoro wa kupitisha na kusafirisha magendo, biashara ya binadamu, nyara za serikali pamoja na dawa za kulevya.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI..USIKOSE KU-SUBSCRIBE



http://bit.ly/2Jz9Vfn

No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...