Usiku wa jana umechezwa mchezo wa kirafiki kati ya Simba SC na Sevilla ya Hispania na matokeo yalikuwa 4-5. Katika mchezo huo kivutio kikubwa kilikuwa ni kwa bosi wa Simba Mohammed Dewji na staili yake ya ushangiliaji wakati timu yake ilivyokuwa inapata mabao.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE
http://bit.ly/2Mln51N

No comments:
Post a Comment