Search This Blog

Sunday, May 26, 2019

VIDEO: Kagere apewa "Ufalme" Simba, mashabiki wamuimbia kama Samatta akiwa Genk


Jumamosi hii kwenye mchezo wa Simba dhidi ya Biashara United ambao umemalizika kwa sare ya kufungana bao 1-1, tumeshuhudia mashabiki wa Sima wakimuimbia nyimbo mshambuliaji wao hatari Meddie Kagere kuonyesha kuwa wamekubali kiwango chake msimu huu akiwa tayari ameshapachika mabao 23 kwenye ligi kuu.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE


http://bit.ly/2X5GOmJ

No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...