Search This Blog

Friday, May 24, 2019

Sugu Amtaka Dkt. Kigwangalla Kujifunza Vivutio vya Utalii Vilivyo nje 'Nenda Mamtoni'


Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi amemtaka Waziri wa Maliasili na utalii kwenye kujifunza  vivutio vilivyopo nje ya Tanzania.

Mbilinyi ameyasema hayo leo, Bungeni jijini Dodoma amemtaka Waziri huyo aende Mamtoni katalii kaangalie watu wana fanya nini.

“Nenda Mamtoni katalii kaangalie watu wana fanya nini kaka utoke uende Ulaya ukajue watalii wanataka nini na sio ile chanel ya TBC badala ya kuonesha watalii wanaonesha miradi iliyofanywa na Tanapa," amesema Sugu.


http://bit.ly/2HSbTnK

No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...