Search This Blog
Friday, May 24, 2019
Diego Maradona Akamatwa Kwa Kushindwa Kulipa Deni
Nyota wa soka wa Argentina,Diego Maradona atiwa nguvuni nchini Argentina kwa kushindwa kulipa deni la Euro milioni 5 kutoka kwa mpenzi wake wa zamani Rocio Oliva.
Maradona alikamatwa alipotua uwanja wa ndege nchini Argentina wakati akitokea nchini Mexiko. Rocio Oliva, amefungua kesi ya madai dhidi ya Maradona.
Kesi hiyo itatajwa ifikapo Juni 13.
http://bit.ly/2VXAa5H
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...

No comments:
Post a Comment