Search This Blog
Friday, May 24, 2019
Sugu amtaka Dkt. Kigwangalla kujifunza vivutio vya utalii vilivyo nje 'nenda Mamtoni'
Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi amemtaka Waziri wa Maliasili na utalii kwenye kujifunza vivutio vilivyopo nje ya Tanzania.
Mbilinyi ameyasema hayo leo, Bungeni jijini Dodoma amemtaka Waziri huyo aende Mamtoni katalii kaangalie watu wana fanya nini.
“Nenda Mamtoni katalii kaangalie watu wana fanya nini kaka utoke uende Ulaya ukajue watalii wanataka nini na sio ile chanel ya TBC badala ya kuonesha watalii wanaonesha miradi iliyofanywa na Tanapa," amesema Sugu.
http://bit.ly/2WYpL69
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...

No comments:
Post a Comment