Search This Blog

Wednesday, May 29, 2019

Spika wa Bunge mgeni rasmi Mo Simba Awards 2019


Spika wa Bunge, Job Ndugai anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika utoaji wa tuzo za Mo Simba Awards 2019 ambazo zitafanyika siku ya Alhamisi Mei 30, 2019 katika hoteli ya Hyatt Regency - The Kilimanjaro iliyopo Jijini Dar es Salaam



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...