Search This Blog

Wednesday, May 29, 2019

Yanga SC wapatiwa Tsh. Milioni Moja


Naibu Spika Dkt Tulia Ackson amekabidhi fedha kiasi cha Tsh. Milioni moja kwa ajili ya kuichangia Timu ya Yanga. Mchango huo umepokelewa na Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge Kazi, Vijana, Ajira na Watu wenye Ulemavu  Anthony Mavunde, Ofisini kwake Jijini Dodoma.



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...