Search This Blog
Friday, May 24, 2019
Sevilla FC waishurukuru Tanzania, Simba SC
Baada ya jana Simba SC kuchezea kichapo cha 5 kwa 4 dhidi ya Sevilla FC, timu hiyo ya Hispania imeishukuru kwa mchezo huo.
Sevilla FC, kupitia ukurasa wake wa Twitter wameandika kuwa "Asante Tanzania, ahansate Simba SC kwa
kutupa utendaji unaostahili mabingwa."
"ASANTE Tanzania, THANK YOU @SimbaSCTanzania, you gave us a performance worthy of champions 🦁👏 #WeareSevilla #LaLigaWorld," iliandika page ya Timu hiyo.
http://bit.ly/2WYpY9r
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...

No comments:
Post a Comment