Kocha wa timu ya soka inayoshiriki ligi kuu ya Uhispania (La Liga) Sevilla, Joaquin Caparros, ametangaza hatokuwa kiongozi wa benchi la ufundi la timu hiyo msimu ujao.
Caparros amesema ataendelea kuwapo Sevilla akiwa na majukumu mengine.
Caparros mwenye umri wa miaka 66 amekuwa kocha wa Sevilla kwa misimu 3 tofauti, mwezi April aligundulika kuwa na ugonjwa wa kansa ya damu, Lakini alisema kwamba ugonjwa huo usingeathiri kazi zake za kitaalamu.
http://bit.ly/2EupFMa
Search This Blog
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...

No comments:
Post a Comment