Search This Blog

Sunday, May 26, 2019

Serikali yazindua mpango wa matumizi ya ardhi


 Uzinduzi huo umefanyika leo tarehe 25/5/2019 katika Kijiji cha Sojo, Kata ya Igusule wilayani Nzega, Mkoa wa Tabora.

Mgeni rasmi katika uzinduzi huo alikuwa ni Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi aliyeambatana na Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu.

Viongozi mbalimbali kutoka Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Wizara ya Nishati, Mkoa wa Tabora na watendaji kutoka EACOP walihudhuria.

http://bit.ly/2QkLgvk

No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...