Search This Blog
Thursday, May 23, 2019
Rais wa Argentina apandishwa kizimbani leo
Kesi ya ufisadi dhidi ya aliyekuwa Rais wa Argentina, Cristina Fernandez imeanza hivi leo nchini Argentina. Hata hivyo amekanusha madai yanayomkabili na kusema kuwa ni vita vya kisiasa.
Bi. Cristina anashtumiwa kwa kosa la udanganyifu la kumpatia mwanabiashara mmoja kwa jina Baez, ambaye ana uhusiano wa karibu na familia ya Fernandez, mikataba bila ya kufuatilia sheria zinazofaa.
Fernandez ambaye alikuwa Rais kuanzia mwaka 2007 mpaka mwaka 2015 amekuwa akihusishwa na vitendo vya rushwa na anafanyiwa uchunguzi kuhusu shutuma nyingine.
http://bit.ly/2wek743
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...

No comments:
Post a Comment