Search This Blog
Monday, May 27, 2019
Mgogoro wa Kibiashara kati ya Marekani na Japan wapamba moto
Mgogoro wa kibiashara umeshamiri kati ya Marekani na Japan,licha ya Rais Donald Trump wa Marekani kuwepo mjini Tokyo.
Vyombo vya habari nchini Japan vimetangaza kwamba, licha ya Trump kuwepo ndani ya nchi hiyo kwa ziara ya siku nne kwa lengo la kukutana na kufanya mazungumzo na viongozi wa Tokyo kuhusiana na masuala tofauti,lakini nchi mbili zinatofautiana kwa kiasi kikubwa katika biashara.
http://bit.ly/2X7JG2E
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...

No comments:
Post a Comment