Search This Blog
Monday, May 27, 2019
Kijana mbaroni kwa kumpiga mpenzi wa mama yake
Kijana David Omondi(20) anadaiwa kumpiga na kumsababishia majeraha mwanaume anayesemekana kuwa ni mpenzi wa mama yake huko Sinapanga katika Kaunti ya Bondo nchini Kenya.
Mwenyekiti wa Polisi jamii wa Kaunti hiyo, Juma Abuko amesema mtuhumiwa alimfuata mwanaume huyo anayedaiwa kuwa kwenye uhusiano na mama yake na kumtaka amueleze kwanini ameingia kwenye mahusiano na mamake huku akijua kuwa ameolewa.
Kabla hajapewa majibu ya maswali yake, David alianza kumshambulia kwa kipigo mwanaume huyo na ndipo watu walipoenda kuamua ugomvi na kumpeleka majeruhi hospitali huku David akipelekwa kutuo cha Polisi anaposhikiliwa hadi sasa.
http://bit.ly/2JFNnJV
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...

No comments:
Post a Comment