Search This Blog

Monday, May 27, 2019

Je ujumbe huu wa Okwi unaashiria kuondoka Simba?

Mshambuliaji wa klabu ya Simba Emmanuel Okwi, ametupia picha yenye maneno yaliyoonyesha kwamba ni kama anawaaga hivi mashabiki zake.

"Goodbye is the saddest word," (kwa heri ni neno ambalo lina maumivu) ameandika Okwi.

Okwi alikuwa mfungaji bora kwa msimu wa mwaka 2017/18 alifunga mabao 20 na msimu huu ana mabao 15.




http://bit.ly/2JHhqRs

No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...