Search This Blog
Sunday, May 26, 2019
Fahyma awatolea povu wanaotamani penzi lake na Rayvanny livunjike
Wakati wengine wakisubiri penzi la Msani Raymond Mwakyusa ‘Rayvanny’ na mama mtoto wake Fahyma waachane, mambo yamekuwa tofauti kwani mrembo huyo amekiri kumpa mambo adimu jamaa huyo na kusema kwamba hata iweje hawezi kuachika.
Fahyma alisema wanaotamani aachane na mzazi mwenzake wanapoteza muda, kwa vile hawawezi kuachana leo wala kesho kutokana na mapenzi ya dhati anayompata, hivyo ni bora wakafanya mambo mengine ya maana kuliko kuendelea kumtamani mwanaume wake.
“Unajua watu wengi hawapendi mapenzi yangu mimi na Rayvanny, yaani wanatamani hata kesho tuachane, lakini hicho kitu hakiwezekani kwa sababu mambo ninayompa tukiwa wawili sio rahisi kunisahau, kwa hiyo wanapoteza tu muda. Bora waendelee kufanya vitu vyao vya maana kuliko kufuatilia maisha yetu,” alisema.
http://bit.ly/2M78XZG
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...

No comments:
Post a Comment