Search This Blog

Thursday, May 30, 2019

BAKWATA watoa taarifa kuhusu siku ya sikukuu ya Eidd El Fitr


Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) limetoa taarifa kuwa sikukuu ya Eidd El Fitr itakuwa siku ya Jumatano, Juni 5 au Alhamisi, Juni 6, kutegemeana na kuandama kwa mwezi.




No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...