Search This Blog

Thursday, October 21, 2021

Wanandoa wakatwa mapanga mpaka kufa mkoani Njombe


Na Amiri Kilagalila,Njombe

Bi. Anes Haule (45) na mume wake Menluph Ngailo (45) wakazi wa kitongoji cha Itacha kijiji cha Lupande kata ya Mawengi wilayani Ludewa mkoani Njombe wameuawa kwa kukatwa mapanga wakiwa wamelala nyumbani kwao.

Kamanda wa polisi mkoa wa Njombe Hamis Issa amethibitisha


 



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...