Search This Blog
Tuesday, October 12, 2021
Spika Ndugai aongoza mkutano wa Wakulima wa korosho kanda ya kati
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akiongoza Mkutano wa wakuliwa wa Korosho kanda ya kati uliofanyika leo katika Chuo cha VETA Wilayani Kongwa Mkoani Dodoma, Octoba 12, 2021, kulia ni Naibu Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe na Mdau wa Korosho na Mbunge wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki, Mhe. Adam Kimbisa
Naibu Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe akizungumza na wadau mbalimbali wa korosho (hawapo kwenye picha) wakati wa Mkutano wa wakulima wa korosho kanda ya kati uliofanyika leo katika Chuo cha VETA Wilayani Kongwa Mkoani Dodoma, Octoba 12, 2021.
Mkuu wa Wilaya ya Kongwa, Mhe. Remedius Mwema akizungumza na wadau mbalimbali wa korosho (hawapo kwenye picha) wakati wa Mkutano wa wakulima wa korosho kanda ya kati uliofanyika leo katika Chuo cha VETA Wilayani Kongwa Mkoani Dodoma, Octoba 12, 2021.
Wadau mbalimbali wa korosho wakishiriki Mkutano wa wakulima wa korosho kanda ya kati uliofanyika leo katika Chuo cha VETA Wilayani Kongwa Mkoani Dodoma, Octoba 12, 2021.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...
No comments:
Post a Comment