Search This Blog

Saturday, October 9, 2021

Congo yaripoti kisa kipya cha Ebola



Waziri wa Afya, Jean Jacques Mbungani amethibitisha kisa kimoja cha #Ebola Mashariki mwa Taifa hilo, ikiwa ni miezi 5 baada ya mlipuko wa hivi karibuni kuisha


Bado haijafahamika ikiwa kisa hicho kinahusiana na mlipuko wa 2018 - 2020 ambao ulipelekea vifo vya watu zaidi ya 2,200


Aidha, Mtoto wa miaka 3 ambaye amefariki dunia alibainika kuwa na Ugonjwa huo huku watu wapatao 100 wamewekwa katika uangalizi kuona kama wataonesha dalili zozote
 



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...