Search This Blog

Saturday, October 2, 2021

BREAKING NEWS Ajali ya gari kampuni ya Emigrace


Na John Walter -Babati 


Picha za ajali ya gari kampeni ya Emigrace inayofanya safari zake Babati-Dar es Salaam iliyotokea asubuhi leo eneo la Kolo wilayani Kondoa mkoani Dodoma.
Taarifa za awali kutoka Kondoa zinaeleza kuwa kuna watu wamepoteza maisha na wengine kujeruhiwa.
Mungu azipumzishe roho za marehemu mahali pema peponi amina.
Endelea kufuatilia Muungwana Blog kwa Taarifa zaidi kuhusu ajali hiyo.



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...