Search This Blog

Wednesday, September 29, 2021

Yanga kuvaana na Kagera Sugar leo


LEO Septemba 29, kikosi cha Yanga kinatarajiwa kuwa na mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Kagera Sugar utakaochezwa Uwanja wa Kaitaba,Kagera. Kwa mujibu wa Mkuu wa Kitengo cha Habari Yanga, Hassan Bumbuli amebainisha kuwa wapo nyota ambao watakosekana katika mchezo wa leo kutokana na sababu mbalimbali. 

 Miongoni mwa nyota hao ni pamoja na Said Ntibanzokiza, Mapinduzi Balama pamoja na Mukoko Tonombe pia ameweka wazi kwamba wanahitaji ushindi mbele ya Kagera Sugar kwa kuwa wana rekodi nzuri

 



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...