Search This Blog

Sunday, September 19, 2021

Waziri mkuu amsimamisha kazi afisa manunuzi kwa kujenga hospitali chini ya kiwango


Afisa Manunuzi wa Wilaya ya Karagwe, Mkoani Kagera, Yesse Kaganda amesimamishwa kazi na Waziri Mkuu kutokana na ujenzi wa Hospitali ya Wilaya kuwa chini ya kiwango


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ametoa maamuzi hayo baada ya Hospitali iliyotumia Tsh. bilioni 2.5 kuanza kuchakaa kabla ya kuanza kutumika


Waziri Mkuu ametoa wito kwa Watumishi wa Umma kuwa na maadili na kutumia fedha za Serikali kukamilisha miradi iliyopangwa



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...