Search This Blog

Saturday, September 11, 2021

Simba yamlilia Zacharia HansPope

 


Uongozi wa Klabu ya Simba umepokea kwa mshtuko mkubwa taarifa za kifo cha Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi, Zacharia HansPope ambaye amefariki dunia.

Hanspope ambaye alikuwa ni Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ndani ya Simba alikuwa anaumwa na taarifa zake za kutangulia mbele za haki imetolewa usiku wa kuamkia leo.

Miongoni mwa waliomlilia ni pamoja na Haji Manara, Ofisa Habari wa Simba, Emmanuel Okwi nyota wa zamani wa Simba pamoja na viongozi mbalimbali wa Simba ambao wamesema kuwa wameshtushwa na taarifa hiyo.



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...