Search This Blog

Saturday, September 11, 2021

Riyad Mahrez afungiwa kuendesha gari nchini England

 


Nyota wa kikosi cha Manchester City, Riyad Mahrez amefungiwa kuendesha gari nchini England baada ya kukutwa akiendesha kwa kasi.

Staa huyo raia wa Algeria alikutwa akiendesha gari kwa spidi 120. Licha ya kufungiwa pia amepigwa faini ndefu.

Faini yake ni pauni 2,500 na hatakiwi kuendesha gari kwa siku 56 adhabu yake ilianza juzi jioni.


Kiungo huyo alikuwa anaendesha gari yake aina ya Audi RS6 lenye thamani ya pauni 100,000 likiwa ni moja ya magari yanayopendwa na wachezaji wengi. 

No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...