Search This Blog

Tuesday, September 28, 2021

Naibu Waziri Ole Nasha afariki dunia


Naibu Waziri ofisi ya Waziri Mkuu, Uwekezaji,  William Ole Nasha amefariki dunia jana usiku Jumatatu Septemba 27, 2021 jijini Dodoma.

Taarifa za kufariki  kwa Ole Nasha ambaye ni mbunge wa Jimbo la Ngorongoro Mkoa wa Arusha, zimethibitishwa na Katibu Mwenezi wa CCM Arusha, Gerald Munisi.

 “Ni kweli amefariki dunia usiku, tumepokea taarifa hizi kwa masikitiko makubwa sana” amesema Munisi.

 



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...