Search This Blog

Tuesday, September 21, 2021

Mtanzania ang'ara tuzo za wanasayansi Kimataifa


Katibu Mkuu wa  Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Dkt. Leornad Akwilapo,  leo tarehe 20 Septemba 2021  amepokea tuzo ya Mwanasayansi Bora iliyotolewa kwa mwanasayansi mtanzania Bwana Salum Faki Hamadi kutoka Taasisi ya Utafiti wa Kilimo, Zanzibar .

Tuzo hiyo imetolewa na Shirika la  Kimataifa la Nguvu ya Atomiki (IAEA) na kukabidhiwa Bw. Rafael Mariano Grossi, Mkurugenzi Mkuu wa Shirika hilo katika Mkutano wa  masuala ya Atomiki Duniani.unaofanyika  jijini  Viena, Austria.

Ushindi huo umetokana na   utafiti  alioufanya juu ya mbegu ya mpunga inayoweza kuhimili zaidi ukame na magonjwa.




 



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...