Star Entrepreneur General Inawaalika Wakazi Wote Wa Mkoa Wa Njombe Kwenye Kongamano la Mjasiriamali Supaa Litakalo Fanyika Tarehe 4-8/10/2021 Katika ukumbi Wa Milimani Motel Muda Saa 2:00Asubuhi Mpaka saa 8:00 Mchana.
Mafunzo yatakayotolewa Ni :
Utengenezaji wa Sabuni Aina Zote
Batik Aina Zote Kuprint Tsheet na Mashuka
Utengenezaji Wa Keki za Sherehe, Tambi, Tomato Cause, Biscuit, Tea Masala
Ufugaji Wa Kuku Wa Aina Zote Na Samaki.
Ufungashaji na Uandaaji Wa Lebo.
Usimamizi Wa Biashara na Utafutaji Wa Masoko
Mafunzo Haya yote yatatolewa Kwa Gharama ya Shillingi 10,000/ Tuu
USAJILI UNAANZA IJUMAA TAREHE 1-4/10/2021 Saa 2:00 Asubuhi Mpaka Saa 11:00 Jioni.
WALENGWA NI WATU WOTE.
KWA MAWASILIANO PIGA NAMBA 0717656531 / 0753343335.
WATU WOTE MNAKARIBISHWA.












No comments:
Post a Comment