Search This Blog

Sunday, September 5, 2021

Kwa mara ya kwanza Roketi kutoka Marekani yalipuka dakika chache baada ya kupaa angani

Roketi ya Alpha ya Marekani  yalipuka dakika chache baada ya kupaa angani .

Roketi hiyo iliyotengenezwa na kampuni ya kibinafsi ya masuala angani mjini California ilipaa angani  kwa dakika 2 na sekunde 30 kabla ya kulipuka.

Baada ya kulipuka Moshi mkubwa ulionekana kwa mbali juu ya bahari.

 



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...