Rais waWorld Bank, David Malpass amesema Benki hiyo itaendelea kushirikiana na Serikali kukuza Uchumi kupitia mabadiliko ya kidigitali kwa kushirikiana na Sekta Binafsi
Ameeleza hayo alipokutana na kufanya mazungumzo na Rais Samia Suluhu ambaye ameishukuru WB kwa mchango wake kwa Tanzania kwenye Huduma za Jamii na mapambano dhidi ya #COVID19
Pia, Rais amefanya mazungumzo na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Biashara Duniani (WTO), Ngozi Okonjo-Iweala kuhusu kuwezesha Biashara kwa kuimarisha upatikanaji wa Chanjo, usimamizi wa Uvuvi na Kilimo
No comments:
Post a Comment