Search This Blog

Sunday, September 19, 2021

Arsenal yaichapa Burnley

Timu ya Arsenal imezidi kuzinduka baada ya kupata ushindi wa pili Mfululizo wa Ligi Kuu ya Uingereza kwa kung’ara ugenini kwa bao 1-0 dhidi ya wenyeji Burnley katika uwanja wa Turf Moor.


Kiungo Mshambuliaji Mnorway, Martin Odegaard aliifungia bao la ushindi Arsenal dakika ya 30.

Kwa ushindi huo Arsenal imefikisha Pointi 6 katika mechi tano , wakati Burnley inabaki na pointi moja baada ya mechi tano pia.

 



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...