Search This Blog

Sunday, August 29, 2021

Waziri Mkuu Majaliwa ashiriki sherehe za kusimikwa Askofu Mkuu wa Muungano wa makanisa ya Kipentekoste Tanzania

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Askofu Mkuu wa Muungano wa Makanisa ya Kipenteskote Tanzania,  Askofu Elieza Isaka Mazinge baada ya Askofu huyo kusimikwa kwenye  Kanisa la Kipentekoste  la Nzega, Agosti 29, 2021.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza katika sherehe za kumsimika  Askofu Mkuu wa Muungano  wa Makanisa ya Kipentekoste Tanzania,  Askofu Elieza Isaka Mazinge  kwenye  Kanisa hilo Nzega, Agosti 29, 2021.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Askofu Mkuu wa Muungano wa Makanisa ya Kipentekote Tanzania,  Askofu Elieza Isaka Mazinge (wa pili kulia) baada ya Askofu huyo kusimikwa kwenye  Kanisa la Kipentekoste la Nzega, Agosti 29, 2021. Kulia ni Askofu Yeftha Sangudi ambaye ni Naibu Katibu Mkuu wa Muungano wa Maknisa ya Kipentekoste Tanzania. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Baadhi ya Waumini wa Kanisa la Kipentekoste la Nzega wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozungumza katika sherehe za kumsimika Askofu Mkuu wa Muungano wa Makanisa ya Kipentekoste Tanzania,  Askofu Elieza Isaka Mazinge  Agosti 29, 2021. (Picha na Ofis ya Waziri Mkuu)



 



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...