Search This Blog

Sunday, August 29, 2021

VIDEO: Nyumba 19 zateketea kwa moto Rufiji


Nyumba 19 zimeteketea kwa moto katika kijiji cha Nyamwage wilayani Rufiji baada ya mwananchi mmoja akiwa anasafisha eneo lake na moto kumshinda na kusababisha madhara yaliyopelekea watu kuachwa bila makazi na mali.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.....USISAHAU KUSSBSCRIBE



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...