Search This Blog

Monday, August 2, 2021

Mose na Ruby waamua kujianika, Aunt Ezekielatpoa neno

 


Mwanamuziki Ruby ameingia kwenye vita ya maneno na msanii wa bongo movie Aunt Ezekiel hii ni baada ya Ruby kupost picha ambazo zikimuonyesha kuwa anamahusiano ya kimapenzi na Mose Iyobo na kuvanya kuwa gumzo kwenye mitandao ya kijamii.

Ikumbukwe Ant Ezekieli yupo na mahusiano na Kusah na alimtoa akiwa na mahusiano na Ruby hivyo unaweza kusema kuwa Ruby anajibu mapigo kwa Aunt kwa kumchukua Mose ambaye ni mzazi mwenzake na Aunt.

Mambbo yalianza hivikwa kumpost Mose huku mikono yake tu ikionekana kushika kifua cha Mose na kumpa ujumbe mzito wa mapenzi katika siku yake ya kuzaliwa

Aliandika " Happy birthday Baba Cookienakupenda sana na unajua"

Baada ya ppost ya Ruby, Aunt Ezekiel naye akajibu mapigo kwa kuposti video akiwa na Kusah na mtoto wao huku video hiyo ikiambatana na maneno haya "Andazi la jasminafua Napenda haya mambo sasa ulikuwa wap na wewe siku zote hizo #mudawakupelekawatumjini"







No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...