Search This Blog
Monday, August 2, 2021
Mbeya wamchangia Mdamu milioni 3 kwaaajili ya matibabu
Mlinda mlango wa Simba , Beno Kakolanya amewashukuru wakazi wa Mbeya kwa umoja waliouonyesha kwenye mchezo wa kirafiki uliochezwa kati ya Ilemi FC na Mbeya All Stars baada ya kukusanya kiasi cha milioni 3 ambazo zitasaidia matibabu ya mchezaji wa Polisi Tanzania, Gerald Mdamu, aliyepata ajali Julai 9, 2021 na kuvunjika miguu yote miwili wakati timu yake ikitoka mazoezini.
“Tunashukuru wana-Mbeya wote kwa umoja wenu mliouonyesha kusapoti jambo la kumsaidia ndugu yetu Gerald Mdamu kwa ajili ya matibabu, tulichokipata nikikubwa sana, tumepata Shilingi milioni 3, shukrani sana wana Green City,”
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
No comments:
Post a Comment