Search This Blog
Wednesday, August 25, 2021
IGP Sirro athibitisha kuuawa kwa askari wawili kwenye tukio la ubalozi wa ufaransa
Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, IGP Simon Sirro amethibitisha kutokea kwa mauaji ya askari wawili jirani na ubalozi waufaransa jijini Dar es Salam yaliyofanyika na mtu mmoja ambaye inasemekana ni Msomali ambaye pia amefariki baada ya kutekeleza mauaji hayo.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...
No comments:
Post a Comment