Search This Blog

Tuesday, July 20, 2021

Tanzia: Msanii Tiwa Savage afiwa na baba yake


Ni Msanii kutokea Nigeria mrembo Tiwa Savage ambae kupitia ukurasa wake wa instagram amewajulisha mashabiki wake kwa kumpoteza baba yake mzazi aliefariki mnano July 19, 2021.

Staa huyo kupitia ukurasa wake aliandika..’Early hours of this morning you made a peaceful transition. You fought till the very end, you really fought daddy, it’s been rough for you these past couple years but you are resting now. This is tough on me, I’m so numb, so weak.Rest In Perfect Peace my King’– Tiwa Savage



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...