Search This Blog
Sunday, July 18, 2021
Spika Ndugai aongoza kikao cha Bodi ya Uwekezaji CPA kanda ya Afrika nchini Kenya
Mjumbe wa Bodi ya uwekezaji ya Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika (CPA Africa Region) na Mbunge wa Bunge la South Africa, Lechesa Tsenoli (katikati) akichangia jambo wakati wa kikao cha Bodi hiyo ilipokaa leo Nairobi nchini Kenya. Kushoto ni Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Zubeir Ali Maulid na Spika wa Bunge la Kenya, Justin Muturi.
Wajumbe wa Bodi ya uwekezaji ya Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika (CPA Africa Region) wakiwa katika kikao cha Bodi hiyo kilichofanyika leo Nairobi nchini Kenya.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai (katikati) aongoza kikao cha Bodi ya uwekezaji ya Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika (CPA Africa Region) kilichofanyika leo Nairobi nchini Kenya. Kulia kwake ni Spika wa Bunge la Kenya, Justin Muturi.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...



No comments:
Post a Comment